Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Tupo pamojaTutakuwepo mkuu....Asante kwa update
Tupo pamojaTutakuwepo mkuu....Asante kwa update
LWFUnamchzesha position ipi
Kitawaka mkuuKumekucha.
Apa sioni kama kuna kutoboa.
Nimemalizaje nafasi ya 4😀
Nimemalizaje nafasi ya 4😀
Umeanza mind games sio😃😃😃Apa sioni kama kuna kutoboa.
Ni afadhali ningekutana na masta yeyote ila sio huyu Razorblade mtani kiwembeUmeanza mind games sio😃😃😃
Au unamtaka masta KandambiliNi afadhali ningekutana na masta yeyote ila sio huyu Razorblade mtani kiwembe
Jitaid leo konokono wako umfunge mota😃😃😃Ni afadhali ningekutana na masta yeyote ila sio huyu Razorblade mtani kiwembe
Acha michezo mkuu 😂Apa sioni kama kuna kutoboa.
Na kiwake.Kitawaka mkuu
Michezo yake nishaijua 😂Umeanza mind games sio😃😃😃
Siuingii huu mtego mkuu, mabuti for life 😂Ni afadhali ningekutana na masta yeyote ila sio huyu Razorblade mtani kiwembe
😂😂 tungepata group wasap ingefaa humu kupatana ni ngum sanaMnafahamu italian Prince nyinyi🤣🤣🤣🤣
Sema analindwa mno hachezi hovyo hovyo🤣🤣🤣
Afadhali nifungwe na mtaalamu Kandambili1 kuliko mtaniAu unamtaka masta Kandambili
Nilikuwa naingia training kwaajili ya kukwepa mabuti nakutana na maintenance hasa basi nimeumia.Siuingii huu mtego mkuu, mabuti for life 😂
Kupata red card siyo shida zangu kabisa 😂
Nimempitaje Alexander 😀
Imeisha..Nilikuwa naingia training kwaajili ya kukwepa mabuti nakutana na maintenance hasa basi nimeumia.