Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,974
- 12,444
Yeye aandae ambulance tu šUlikuwa hujaona anakuletea michezo ya kandambili ujaeš¤£š¤£
Yeye aandae ambulance tu šUlikuwa hujaona anakuletea michezo ya kandambili ujaeš¤£š¤£
Halafu Cannavaro mjanja sana anamuachia Beraldo apige tackling za ajabu ajabu šš¹š¹ game yangu na wewe lazima mtu atoke na red mana kukaba ni Buti buti
Inabidi safari hii final iwe live wakuu ššššKungekuwepo na mtu wa kustream tuangalie aseešš
Sasa ndo waingie wenye simu ambazo zinasupportššInabidi safari hii final iwe live wakuu š
Dah hapo sasa ndo kipengele.Sasa ndo waingie wenye simu ambazo zinasupportšš
Mkuu awali ya yote huenda nikatakiwa nifute game kisha nilishushe tena, bado sijakuwa na uhakika kama naweza ingia room leo.Sangapi nikupe ushindi maestro
Ooh tusubiri basiMkuu awali ya yote huenda nikatakiwa nifute game kisha nilishushe tena, bado sijakuwa na uhakika kama naweza ingia room leo.
Nikifanikiwa tutakiwasha.Ooh tusubiri basi
Sema match up imerudi nimeanza wawasha tena....nitafika....pvp naona rahisi AI n motoKaza hakuna ukikata tamaa hutoboi me leo nimecheza na point 1733 to 1784 tangu asubuhi saa nneššš
Nikifika tuu 1784 napigwa au nadraw šštangu saa nne napambana tuu mwishon kabisa nimesema sasa hii ya mwisho nitaendele mwezi ujao ndo nikashindašš
A wapi hatari ni Kandambili1 the master ššš¹š¹kaka saivi umekua na hatari, Baada ya vijana kutaka kukuzoea vibaya
Aha wapi mtaungana na ndugu zenu wakenyaš³ššUnatolewa leo
Kuanzia Saa 4 na nusu .Tutakipiga usiku