eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😂😂 tungepata group wasap ingefaa humu kupatana ni ngum sana
Kuna raha ya kutumia Id zetu hizi hizi😃😃 Whatsapp hainogi.. maana kama groups za Whatsapp me Ninazo nyingi tuu za efootball

Sema ni muda saa nne usiku humu ndo kunawaka😃😃ukija hukosi mechi...

Kwa hiyo zoea hiyo mida saa nne usiku kila siku uwepo
 
Au awe anatuangalia online atupe invite
 
Mill broh friendly leo familia.
Umejiandaaje
1000101724.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom