Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau😂😂Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wameziroga🤣🤣🤣
Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau😂😂Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wameziroga🤣🤣🤣
Hahahahaha huu mtegoNi kwenye harakati za kujipima😃😃😃msije mkajaa upepo kuwa mnamkaba Ronaldo 😃😃😃😃wakati Owen haamjamuweza bado🤣🤣🤣🤣
Eniwei ni Jokes tuu nothing Serious mkuu
Cc Warld
Hata me naona hili swala😃😃😃Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau😂😂
Tukate rufaa, huu ni unyanyasaji 😂😂😂Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wameziroga🤣🤣🤣
Kuna akina Lamine humu wanakusubiri 😂Baada ya kuanza kucheza kwenye Infinix smart 6 japo wachezaji wapo kama katuni😀lakini matokeo at least napataView attachment 3448185
Kazi njema mkuu, tupo pamoja 😂Hii simu nilikua nayo kitambo leo nikasema ngoja nijaribu ku download efootball kumbe linakubali
Umemchukua tayari😀Kuna akina Lamine humu wanakusubiri 😂
Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau😂😂
Nakataa kabisa, mbona mimi sijawapa na sipati hao wa bure 😂😂😂Hata me naona hili swala😃😃😃
Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo 😂Umemchukua tayari😀
Hamna walistahili ushindi 😀Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo 😂
Sawa, wape tena ushindu kupitia infinix smar 6 😂Hamna walistahili ushindi 😀
Dah wakinipiga tena mkono itabidi nitulie tu😀Sawa, wape tena ushindu kupitia infinix smar 6 😂
Tutaenda kwa fujo kwenye account za eFootball mitandao yote na kuandika comment “Smart assist ifutwe” 😂Dah wakinipiga tena mkono itabidi nitulie tu😀
We chokoza watu mtu afungwe tena week😃😃😃Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo 😂
Nitaongoza maandamano😃😃Tutaenda kwa fujo kwenye account za eFootball mitandao yote na kuandika comment “Smart assist ifutwe” 😂
Nenda kaspin kuna mwamba kampata costacurta kwa coin 900 alizotunza.Nakataa kabisa, mbona mimi sijawapa na sipati hao wa bure 😂😂😂
Kapata simu nyingine mkuu 😂We chokoza watu mtu afungwe tena week😃😃😃
Sithubutu.Nenda kaspin kuna mwamba kampata costacurta kwa coin 900 alizotunza.
Tutafute kauli mbiu kabisa 😂Nitaongoza maandamano😃😃