UI 7 Update SAMSUNG imefanya simu kuwa nzito game command zinachelewa. Wachezaji zangu wana delay kupiga pass japo shida ipo tangu zamani sasa hivi imezidi. Nafungwa magoli mengi kwa kupokonywa mpira.