eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Sio kama nakuachia niliupdate samsung yangu kwenda latest version nimegundua ndio sababu ya kusumbukw kukaba kioo changu kinazingua napata shida sana kudefend kaka
Hata kama ni update mpK me nimeshanga kwamba ndo ustruggle namna hii kwa level yako...

Itakuwa kwel Samsung yako imekukwamish...

Form is temporary but class is permanent

Ur Top player


Nadhan simu itakuwa majanga
Maana hata division yalikuwa ni majanga
 
Hata kama ni update mpK me nimeshanga kwamba ndo ustruggle namna hii kwa level yako...

Itakuwa kwel Samsung yako imekukwamish...

Form is temporary but class is permanent

Ur Top player


Nadhan simu itakuwa majanga
Maana hata division yalikuwa ni majanga
For sure huyu masta unapata ushindi ila unaona sio kawaida maana kuna muda nkajua Network.
 
Nina sportsmanship mkuu kama unabisha muulize Razorblade kama alishawahi kunifunga😀 nakamia hadi friend match muulize Selikavu 😀
nadhan me ni miongoni mwa watu ambao tumcheza friend match nyingi sana game zako huwa ni ngumu sana kwangu huwa nahitaji utulivu kabisa sitakiwi kufanya mistake kwenye angle yoyote ile


Nadhani na Gilberto na Mill Broh wanaingia hili kundi nikicheza nahakikisha akili yangu ipo asilimia 100

Natumia game zako kujipima ndo maana nikikuona tuu upo Online natuma invite
 
Back
Top Bottom