Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nimekusubiri hutokei kaka, naomba mechi yetu isogezwe kama utakuwa na muda.Amepotea ghafla
Nimekusubiri hutokei kaka, naomba mechi yetu isogezwe kama utakuwa na muda.Amepotea ghafla
Poa mpaka mda sasa uje uchukue points zakoNimekusubiri hutokei kaka, naomba mechi yetu isogezwe kama utakuwa na muda.
Au keshoPoa mpaka mda sasa uje uchukue points zako
Kaka mbona unaniachia nifungeTwende
Sio kama nakuachia niliupdate samsung yangu kwenda latest version nimegundua ndio sababu ya kusumbukw kukaba kioo changu kinazingua napata shida sana kudefend kakaKaka mbona unaniachia nifunge
Na struggle kinoma
Pole kiongoziSio kama nakuachia niliupdate samsung yangu kwenda latest version nimegundua ndio sababu ya kusumbukw kukaba kioo changu kinazingua napata shida sana kudefend kaka
Kaka huyu kaniachia sio bure.😹😹😹 mauaji
Hongereni kwa match kali wakuu
😅😹kaka inabidi tukupe pole umekosa kushuhudia dribbles za mwamba , ni hatariPole kiongozi
Nina sportsmanship mkuu kama unabisha muulize Razorblade kama alishawahi kunifunga😀 nakamia hadi friend match muulize Selikavu 😀Kaka huyu kaniachia sio bure.
Mbele kaweka viberenge 😂😂😅😹kaka inabidi tukupe pole umekosa kushuhudia dribbles za mwamba , ni hatari
Ndiyo maana nmesema umenipa ushindi wa mezaniNina sportsmanship mkuu kama unabisha muulize Razorblade kama alishawahi kunifunga😀 nakamia hadi friend match muulize Selikavu 😀
Sina cha kuandika aseee 😏