Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Yan muda wa kucheza na viberenge huuIkabidi nimrudishe mwanajeshi wangu mstaafu arudi kuokoa jahazi. Kidogo naona nafuu😀View attachment 3444104
Yan muda wa kucheza na viberenge huuIkabidi nimrudishe mwanajeshi wangu mstaafu arudi kuokoa jahazi. Kidogo naona nafuu😀View attachment 3444104
Username yako ni MTUWA??Nimo MTUWA
Mnatafutana mkabutue 😂Alexander Lukashenko upo mkuu
Tumezoea manual defending hii auto kipengele sana.Tutazoea tu mkuu ni swala la mda tu
Hivi tunamechi baadae baadaeUzi umepoa, magroup ya WhatsApp yamepoa 😂
Konami wafanye haraka bila hivyo huenda wakapoteza watu wengi 😂
Sema malalamiko yamekuwa mengi, natumai watafanyia kazi.Tukazee tuu.
Ipo mkuu, uchukue point zako maana kukaba sijui kabisa.Hivi tunamechi baadae baadae
Sawa mkuu sangapi nkupe pointKaka kuanzia saa 22:40 , usiwe na haraka kila mtu atafungwa na mimi😹😹View attachment 3445506
Ipo mkuu, uchukue point zako maana kukaba sijui kabisa.
Huu si mtego kabisaIpo mkuu, uchukue point zako maana kukaba sijui kabisa.
Hamna mtego hapo we jiandae kuchukua point zako mkuu.Huu si mtego kabisa
23:00Sawa mkuu sangapi nkupe point
Saa 4 masta23:00