eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😹amna namna dash&pressure ukishindwa panda ndege, sema me nawalamba sana buti yan match haiishi bila card
Kwenye hii update mwenyewe nishakula nyekundu, mtu kanipiga goli 2 halafu akapiga through yenye smart assist ndani yake mpira ukadondoka mbele ya forwad wake akaanza kunidimua 😂

Nikashikilia dash mpaka kumkaribia nikapiga tackling moja matata, ni vile injury tunaweka off ila kama ingekuwa on naona machela ingeingia uwanjani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom