Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
Tuguse mojaNipo
Tuguse mojaNipo
Nipp onlineTuguse moja
Kumbe mi nilijua ni moja 😂Razorblade c bado match moja au
Hahaha njoo umalizie kuchukua point zakoKumbe mi nilijua ni moja 😂
Nakuja.Hahaha njoo umalizie kuchukua point zako
Net yako ipo downTuguse moja
Ni kwenye events tuu inategemeana na events yenyewe ila unaweza kuweka wa kwenye game planHii game ya kiboya mfumo ulio set kwenye game plan au apply kote ,hadi pengine ubadili tena
Kuna king'ang'a ana sumbua 😅😅 sema game imekua ya friendly match zaid kuchukua uzoefu 🫡Net yako ipo down
Pole sana me niliingia full mkoko😃😃😃Kuna king'ang'a ana sumbua 😅😅 sema game imekua ya friendly match zaid kuchukua uzoefu 🫡
Issakson makanga tuna match mkaliNimo MTUWA
Utakula point za mezani au niingie Mimi 🤣🤣🤣Dead line ya match mwisho lini?
00:00 bado dk 7Dead line ya match mwisho lini?
Ngojea point za mezan kakaTimu yangu imenipa win au😂
😹nikazani tuna cheza tu , kumbe mwamba umekuja kivitaPole sana me niliingia full mkoko😃😃😃
Natafuta ukabaji mzuri nikamalizie division week hii😃😃😹nikazani tuna cheza tu , kumbe mwamba umekuja kivita