eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😹😹 ii game nilicho ona saivi badala ya kukaba inabidi usome atapo peleka pass badala ya kupeleka mchezaje ku tackle we una mpeleka unapo hisi ata peleka pass ui block
Ndo ipo hivyo mkuu, match inazuia njia, dash ndo inayofanya kazi ya kukaba/kupora mpira.
 
IMG-20250817-WA0041.jpg

Ahshante shana konami kwa neema hii mliyonipatia, 2 wins ni neema kubwa sana 😂

IMG-20250817-WA0042.jpg

Wakuu twendeni huku kutrain hii update, match up haikabi ila inakaba njia tu bila kumsogelea mchezaji pinzani, dash ndiyo inayoenda kupora mpira ukiwa tayari umedhibi njia.

Tuache kazi tufanye kazi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom