eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

NEGAN kuna mtu alikuloga tu mzee 😅
eFootballâ„¢_2025-08-17-10-04-19.jpg
 
Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi 😂

Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika 😂😂😂
View attachment 3443356
View attachment 3443357

Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361

Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza 😂😂😂

Napumzika kwanza vidole vinanyevua 😂🙌
Mashabiki ume peleka wapi
 
Isco mwenyewe wakimpata atakaa benchi 😀
Nishapigwa game 3 mfululizo, naenda tena ila sasa naweka back 5 😂

Game limekuwa baya yani hakuna ushindani maana mtu akipata mpira ni clear/through baasi kwisha, beki zipo kuongeza idadi ya vivuli uwanjani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom