Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Aiseee kweli sikuangalia vizuriNi Creative mwenye visionary pass
Aiseee kweli sikuangalia vizuriNi Creative mwenye visionary pass
Leo nipo na simu itakoma, tangu asubuhi nahangaika aisee 😂😂😂Sio pow😃😃
Bado hujasema🤣🤣Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi 😂
Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika 😂😂😂
View attachment 3443356
View attachment 3443357
Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361
Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza 😂😂😂
Napumzika kwanza vidole vinanyevua 😂🙌
Kwani baada ya hii update uwanja akichagua yule wa home ndo itatumika kote?Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja🤣🤣🤣View attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita🤣🤣🤣View attachment 3442594
Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi 😂
Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika 😂😂😂
View attachment 3443356
View attachment 3443357
Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361
Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza 😂😂😂
Napumzika kwanza vidole vinanyevua 😂🙌
Hivi edged crossing si huwa zinaenda kwa ule mguu halisi wa mchezaji au?View attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai 🚮
Na ntasema 😂😂😂Bado hujasema🤣🤣
Unionee huruma mkuu, kufika hapo nimehangaika masaa 10+ 😂View attachment 3443377
Nilichogundua bada ya hii update ukipata viberenge wako wawili pale mbele.. kwishaa umeshinda.
Mana Mbappe akipata tu mpira humkuti tena, na saivi nimezoea kucheza na zile One-Two passes 😄
We Razorblade nakuchawia utacheza mechi 50+ ndo uvuke hapo 3 kwenda 2 😅
Ndiyo mnashare...Kwani baada ya hii update uwanja akichagua yule wa home ndo itatumika kote?
Kuna mtu nilikutana nae ana Owen na mbappe pale mbele owaa ni balaaa... Nan mimi niliweka mbona🤣🤣View attachment 3443377
Nilichogundua bada ya hii update ukipata viberenge wako wawili pale mbele.. kwishaa umeshinda.
Mana Mbappe akipata tu mpira humkuti tena, na saivi nimezoea kucheza na zile One-Two passes 😄
We Razorblade nakuchawia utacheza mechi 50+ ndo uvuke hapo 3 kwenda 2 😅
Lamine yamal ana cross zake kwenye game anapigia OuterHivi edged crossing si huwa zinaenda kwa ule mguu halisi wa mchezaji au?
Mana Yamal anatumia kushoto lakini anachezea kulia na hana matumizi sana na mguu wa kulia hizo cross zitakuwa zinaenda kweli au ndo kapewa tu hiyo skill ili tupite nae
Kakufunga leo😃😃😃Razorblade una roho mbaya ume invite ili uniue😀
Hata nilikuwa sielewi maana mwenyewe nilikuwa nasinzia 😂Razorblade una roho mbaya ume invite ili uniue😀
Nilidhani itakuwa network, hata hivyo mwenyewe nilituma invite basi tu 😂Razorblade nilipigiwa simu mkuu
Ungekuta mkeka humu tayari 😂Kakufunga leo😃😃😃
🤣🤣🤣Ungetamba week nzimaUngekuta mkeka humu tayari 😂