eFootball Special Thread

Mashabiki ume peleka wapi
 
Isco mwenyewe wakimpata atakaa benchi πŸ˜€
Nishapigwa game 3 mfululizo, naenda tena ila sasa naweka back 5 πŸ˜‚

Game limekuwa baya yani hakuna ushindani maana mtu akipata mpira ni clear/through baasi kwisha, beki zipo kuongeza idadi ya vivuli uwanjani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…