Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5😅☠️Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 😂
Kahn kwangu simsemi vibaya anajitahidi ila hili tukio la leo kanifurahisha, yani kaacha goli halafu kaanza kufoka au sijui alikuwa anashangilia alivyopangua lile shuti mpaka muda huu sijamuelewa alikusudia nini 😂😂😂