Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
Turuke kakaVip kaka
Turuke kakaVip kaka
Upo??Turuke kaka
Haupo onlineTuruke kaka
Wewe nakuinvite apo acha league hiyo
Niliingia na mill Broh😃😃Wewe nakuinvite apo acha league hiyo
Haikuwa siku yako nzuri leo😅
🤣🤣🤣Sawaa kaka kesho nadhan nitaendelea na formula ile ile test your own medicine 🤣🤣🤣haiwezekan uniwekee DMF Watatu sheikh unataka nipite wap🤣🤣Selikavu tutaendelea kesho mkuu, mpaka vidole vinataka kuuma😅
Hapana ...Haikuwa siku yako nzuri leo😅
Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja🤣🤣🤣View attachment 3442592
Hivi huu uwanja uliuona😀
Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222😀Hapana ...
Mfumo wako umenishika😃😃😃
Nilibadilisha kulud Quick Counter sasa ni kitambo na nimebadilisha gia angani inabid nizoee sasa QC maana hii update naona QC ndo ina balaa...😃😃🔥
Nashukuru umenipa mfumo🤣🤣🤣nitaendelea nao hivyo hivyo na Alonso
Huu uwanja unacheza huoni hata kinachoendelea😅Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja🤣🤣🤣View attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita🤣🤣🤣View attachment 3442594
NIlianza Division formation yangu ya 433 ikakataa nikala vipigo nikalud 4222 nikawa nashinda hivyo hivyo...Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222😀
Yan kuna muda nimefata mtu mwingine kabisa na hana mpira🤣🤣🤣Huu uwanja unacheza huoni hata kinachoendelea😅
Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,Inamaana huku kukata kwa game ndiyo script mpya au maana unaongoza wewe vizuri halafu game inakata ghafla, mechi 2 nimetoa loss kwa style hii 😂
Haya sasa tukio la ajabu lilitokea leo mnaweza msiamini ila Kahn kafanya ushenzi, limepigwa shuti kapangua vizuri sasa badala awahi mpira sijui ndo kaanza kujimwambafai au alikuwa anafoka huku kaacha goli wazi daah jamaa kaja kashinda kilaini mpaka nikawa nacheka 😂
Halafu kuna huyu mpuuzi nilitaka kumreport ila nilivyoona maneno kuwa siyo guarantee wao kuchunguza taarifa zote nikaghairi 😡
Tumeanza mechi tu nikamfunga mara hapohapo naona inaload kisha nikapewa loss dadeki 😂
View attachment 3442599
Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 😂Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,
Na inatokea mara nyingi ukiwa unaongoza 😭
Kahn nilisikia watu wengi wanalalamika kwamba ni pazia😅