Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
Wazi mkuu
Wazi mkuu
Hahahaha mkuu nahangaika na hii gameplay sanaEeh na week ijayo league itatunyoosha vizuri
Kuna products ya make up nasikia wameingia ubia nayo 🤣🤣🤣
Wamekupa au ndo mpaka end of the phase 😃😃😃Me nimetangulia huku kumchukua isco kina selikavu mtanikuta huku😅
View attachment 3442338
Wamekaza mpaka mwisho nimewaachia ulingo sasa😅Wamekupa au ndo mpaka end of the phase 😃😃😃
Waache hizo bhana😃😃😃Wamekaza mpaka mwisho nimewaachia ulingo sasa😅
Sema umevipiga vita kaka😃😃🔥🔥🔥🔥yan saiv kutoboa division one ni pa moto sanaMe nimetangulia huku kumchukua isco kina selikavu mtanikuta huku😅
View attachment 3442338
Sema game limebadilika lipo slow sana.Sema umevipiga vita kaka😃😃🔥🔥🔥🔥yan saiv kutoboa division one ni pa moto sana
Napambana nimpatie Cannavaro DMF atoke pale anavuja mno😃😃😃nimeshatumia Position training kama 15 kapat moja tuuSema game limebadilika lipo slow sana.
Beki zenyewe hata hazieweki imenibidi nitumie back five
Kama unacheza back 4 alafu una cannavaro ni kama unacheza na beki mmoja tu 😅
Nadhani saivAlexander Lukashenko na Warld wakuu nipo Kamili gado anytime mkiwepo turuke kuanzia sasa
Nilikua kupata nguvu za kumkaba Baggio ila kwa sasa nipoNadhani saiv
Yan ni shida tuuDaaaah baada ya update makipa wote wamekuwa mashati kila shoot golii.. kikubwa mpira ulenge goli
Utanikuta online mkuu ukija tu nipe invite nitakujaNadhani saiv
Oyah mastaAlexander Lukashenko na Warld wakuu nipo Kamili gado anytime mkiwepo turuke kuanzia sasa
Vip kakaOyah masta