Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,947
- 12,388
Nipo natrain 3 attackers(WF's+CF), naona anashinda yeyote tu ๐ATakaa sawaa tuu ngoja nisikie milio ya Pamela mamtu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ushawahi kumuweka muarabu wewe? ๐Chagua mmoja sema ya spanish huwa ina mzuka sana sema ndo huelewi kitu๐คฃ๐คฃ
Tano gan tena๐๐Mkuu tupashe nijirudishie Tano zangu ๐๐
Ligi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
Mpaka nizoee formation mpya siyo leo, nimpate Hazard kushoto na Lamine kulia halafu Batigoal katikati daah hatari tupu ๐Ligi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
Maombi ya wadau๐๐Hutaamini ukimuona kwenye first eleven ๐
Kwani zile nilizozipukutisha kipuuzi nilizitunza vipi? ๐
Me nilileft kitambo ningekuwepo ningekuona...Halafu nilikuwa nimeandika Pamela Mamtu ๐๐๐
Sema nikawa nafikiria kukucheki kitambo ila nikaona nivunge kwanza, Konami wamelazimisha iwe jana ๐๐๐
Unanikaba sana hii naona umeniwekea man marking kabisa ๐๐๐Maombi ya wadau๐๐
Mule kinachofanya nisichat ni lugha zao za ajabu ๐Me nilileft kitambo ningekuwepo ningekuona...
Fresh barida tuu ๐Nipo natrain 3 attackers(WF's+CF), naona anashinda yeyote tu ๐
Engara messi ๐๐Ushawahi kumuweka muarabu wewe? ๐
Una moto sheikh๐๐
Mpe moyo tuuLigi yako hii.. hii update Drogba anafunga sana
Hutoboi๐๐Unanikaba sana hii naona umeniwekea man marking kabisa ๐๐๐
Commentary 2 tu ndo naona zinafurahisha, kiarabu na kihispania ๐Engara messi ๐๐
Mkuu nimeanza kuwa sheikh tena? ๐Una moto sheikh๐๐
Kihispaniola ndo naona unyama๐๐Commentary 2 tu ndo naona zinafurahisha, kiarabu na kihispania ๐
Pipa na mfuniko๐๐waleOya hivi huyu Messi wa bure wa update hii na yule wa bure wa 2025 yupi anastats nzuri zaidi?