Mbona huwaga ni moja unabadilisha😃😃😃eniwei sijui me nishajizoeelea bila commentaryKonami wangese Jana nili download commentor ya spain ,leo nikasema ni download naya english niwe nabadilisha si kumbe hazikai zote bhana, nme jikuta nme download commentator mbili afu zika potea zote inabidi ni download tena 😹
Duh kwani imekuwaje tena mkuu 😅Hii imevunja rekodi sasa nipumzike tuView attachment 3442124😀
😹 uku bat goal kawaje sijuiNimeona Owen wangu kawaka kwel kwel😃😃😃kila game na Ai anatoka na mpira
Ulidhani unaswitch tu 😅 ni mmoja tuKonami wangese Jana nili download commentor ya spain ,leo nikasema ni download naya english niwe nabadilisha si kumbe hazikai zote bhana, nme jikuta nme download commentator mbili afu zika potea zote inabidi ni download tena 😹
Uki download ya pili ile ya kwanza ina jifuta , sasa me nime download ya pili ya kwanza nikaona ime futika ina itaji ni download tena .Mbona huwaga ni moja unabadilisha😃😃😃eniwei sijui me nishajizoeelea bila commentary
Si ndioUlidhani unaswitch tu 😅 ni mmoja tu
Haha haujacheza toka mwaka jana 2025 sio 😂😂Nimesahau kulicheza😀
ATakaa sawaa tuu ngoja nisikie milio ya Pamela mamtu🤣🤣🤣😹 uku bat goal kawaje sijui
Chagua mmoja sema ya spanish huwa ina mzuka sana sema ndo huelewi kitu🤣🤣Uki download ya pili ile ya kwanza ina jifuta , sasa me nime download ya pili ya kwanza nikaona ime futika ina itaji ni download tena .
si nika tap kui download tena na iyo ya pilii ikaliwa kichwa
toka 2024😀Haha haujacheza toka mwaka jana 2025 sio 😂😂
Mkuu tupashe nijirudishie Tano zangu 😆😆Gilberto_ kaka walatee league wachangamke kwanza week ijayo🤣🤣🤣
Ungekaza macho tu kaka ungenipata 😂😂😂Mpuuzi we unajiita jina la kiarabu nisingekupata tu 😄
Hutaamini ukimuona kwenye first eleven 😂Utunzw coins 1800 wewe
Mamiyake🤣🤣
Lazima nioate uhakika, hii ni kama kutoa mahari ujue 😂😂😂We tukujibu mara ngapi embu toa hiyo elfu mbili acha ubahili mzee🤣🤣🤣
Halafu nilikuwa nimeandika Pamela Mamtu 😂😂😂🤣🤣🤣Alibadilisha nadhan baada ya kuanza kumpiga msako🤣🤣🤣
TUkiwa kama pipo... 😂Haha akajiona mjanjaa 😅 sisi ni pipo tushakutana sasa
Mimi mwenyewe nilikuwa napigania coins 50 kule event ikajikata.Mi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Kosa ni lako kutokujua hilo, usiwatukane 😂😂😂Konami wangese Jana nili download commentor ya spain ,leo nikasema ni download naya english niwe nabadilisha si kumbe hazikai zote bhana, nme jikuta nme download commentator mbili afu zika potea zote inabidi ni download tena 😹
Amechoka aisee maana alikiwa hapumzishwi 😂😹 uku bat goal kawaje sijui