Nilimpa random defendingHujamuwekea booster bado?
Wewe unatumia kocha wa booster 2 ndiyomaana kafika 102.96 ukimuweka uwanjan 102
Au Kijana Mbahili stadium ๐๐Pamela mamtu stadium
Gilberto kasema anafika 103 kwa hiyo kwa kocha yoyote ni 102Wewe unatumia kocha wa booster 2 ndiyomaana kafika 102.
Sema huyo unaenda costomize kwenye progression points unamjaza defensiveNilimpa random defending
Huyo nitapita nae ila Ruud simchukui maana ni fox in the box.Au Kijana Mbahili stadium ๐๐
Huyo afu 2 yangu atakula ๐Gilberto kasema anafika 103 kwa hiyo kwa kocha yoyote ni 102
Aah kama anacheza CB ila LB nadhan ni sawa tuuSema huyo unaenda costomize kwenye progression points unamjaza defensive
Chap tuu hapa nitafute elfu 16 isiyo na kazi๐๐Huyo afu 2 yangu atakula ๐
Si ni kama drogba๐๐๐drogba nae ni Fox in the BoxHuyo nitapita nae ila Ruud simchukui maana ni fox in the box.
Afu 16 ya nini tena?Chap tuu hapa nitafute elfu 16 isiyo na kazi๐๐
Ya morinho elfu 10 naAfu 16 ya nini tena?
Ndiyomaana nimesema simchukui huyo.Si ni kama drogba๐๐๐drogba nae ni Fox in the Box
Oya niletee uzi wa Santos hapa ๐NEGAN konami wamekukumbuka na Atletico yakoView attachment 3441337
๐ฎ ๐Ya morinho elfu 10 na
Ruud van nestory 6000
Mchukue awe sub ya Didier ๐๐alafu sijui kwann mnachukia Fox in box wakati ndo playstyle ya strikers inayopendwa zaid kwenye efootballNdiyomaana nimesema simchukui huyo.
Oya niletee uzi wa Santos hapa ๐
Kwa formation nayotaka kuanza kutumia Drogba anaanzia nje, sasa nikimchukua huyo si nitamuweka reserve kabisa.Mchukue awe sub ya Didier ๐๐alafu sijui kwann mnachukia Fox in box wakati ndo playstyle ina strikers inayopendwa zaid kwenye efootball
Wametoa third kit aisee ๐ช