Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Safari hii wanaweza kula pesa yangu hawa umbwa 😂😂😂
Safari hii wanaweza kula pesa yangu hawa umbwa 😂😂😂
Pesa yangu nilie kwanza kabla sijaitoa 😭😂Elfu mbili shwaaa😁😁View attachment 3441167
Huyo kwangu sherehe tu mie wa free cards 😂Amna ana phenomenal pass mzee😁😁
Sjawahi kwenda sehemu ya kuwasha smart assist mkuu waliwela wenyewe 🤣🤣🤣Ila smart assist unaijua vizuri tu.
Sawa 😂Sjawahi kwenda sehemu ya kuwasha smart assist mkuu waliwela wenyewe 🤣🤣🤣
We badae iwashe tupande mkuuSawa 😂
Niliwasha siku ile friend match tukatoa sare, nimeachana nayo kitambo sana hiyo sasahivi inanipa tabu tu.We badae iwashe tupande mkuu
Hahahaha mkuu sawa mm ntaturn off safari hii nioneNiliwasha siku ile friend match tukatoa sare, nimeachana nayo kitambo sana hiyo sasahivi inanipa tabu tu.
Aweeee me bado nitahangaika naye siku zijazo
Bado saana😹
Kwenye kocha sijamuona mimi, graphics kwangu ni standard.Kwenye upigaji imekuwaje?
Kocha uwanjani anaonekana au uchawi tu kama kawaida?
😂 nitazijulia tu..Tupumzike sasa na Tony Adams 😁😁
Kule kwenye e-points zimeletwa card zipi?Mapema sana leo 😀
Safarii kama mbwai mbwai tu, embu nipe stats za huyo LB kwanza 😂Aweeee me bado nitahangaika naye siku zijazo
Amna kipya ningekuwa nishakuletea..Kule kwenye e-points zimeletwa card zipi?
102😁😁sijajua booster yake ni ipi sasaSafarii kama mbwai mbwai tu, embu nipe stats za huyo LB kwanza 😂
Anafika OVR ngapi?
Yupo yule yule CamavingaKule kwenye e-points zimeletwa card zipi?