Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Hata ikiwepo bado itakuwa ngumu, nipe Bastoni nikupe Amrabat 😂Sijui ipo hiyo
Hata ikiwepo bado itakuwa ngumu, nipe Bastoni nikupe Amrabat 😂Sijui ipo hiyo
BOX TO BOX namtaka kante tuu😀😀😀Hata ikiwepo bado itakuwa ngumu, nipe Bastoni nikupe Amrabat 😂
Kama unanipa Amrabat na Micky van de van sawaaHata ikiwepo bado itakuwa ngumu, nipe Bastoni nikupe Amrabat 😂
Sasa Cannavaro wakazi gani tena?BOX TO BOX namtaka kante tuu😀😀😀
Nikupe skill ya Fortress for Free chukua tu Cannavaro 😁😁😁😁
Na VVD Kama kifungashio😁😁😁Kama unanipa Amrabat na Micky van de van sawaa
Done deal 😁😁😁😁
Unacheza wewe 😂Kama unanipa Amrabat na Micky van de van sawaa
Done deal 😁😁😁😁
😆😆😆😆Hao watatu hapo nakupa baston na nani sasa😆😆😆Unacheza wewe 😂
VVD huyu anarate kubwa tu mkuu ila yule wa free rate ya 99 ni bora kuliko hili cardNa VVD Kama kifungashio😁😁😁
Huyo Rijkard ana Visionary pass for free aseee🔥🔥
Ni Anchorman kaka😁😁😁sema huyo kama Drogba mzee mpaka upate chance dealUyu kama ni anchorman naruka nae maana Rodri amekua mrembo sana 😹
Hapa nipambane nipate wote hao Messi, Lamine na Neymar.Hahaha sema nimempiga tu penalty kuona hali ipoje huko 🤣🤣🤣 tamaa ya Andy Cole ulifanya nichoke coin Bure tuView attachment 3440905
Nipe Mimi uone kazi yakeVVD huyu anarate kubwa tu mkuu ila yule wa free rate ya 99 ni bora kuliko hili card
Tunza coins kwa sasaHahaha sema nimempiga tu penalty kuona hali ipoje huko 🤣🤣🤣 tamaa ya Andy Cole ulifanya nichoke coin Bure tuView attachment 3440905
Wewe ushagoma 😂😆😆😆😆Hao watatu hapo nakupa baston na nani sasa😆😆😆
Uyu Raul SS hawezi muweka benchi Golden Boy Desire Doue😅😅 apite hivi
Nipe Bastoni nikuachie huu mzigo 😂Nipe Mimi uone kazi yake
Ongeza subs mzeeUyu Raul SS hawezi muweka benchi Golden Boy Desire Doue😅😅 apite hivi
Usha vuta gift zako saafiHahaha sema nimempiga tu penalty kuona hali ipoje huko 🤣🤣🤣 tamaa ya Andy Cole ulifanya nichoke coin Bure tuView attachment 3440905
Siwezi toa 101 na Fotress kwa VVD wa 101Nipe Bastoni nikuachie huu mzigo 😂