Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
😹😹una mfananisha na konokono wa Bwana wa halotelNi Anchorman kaka😁😁😁sema huyo kama Drogba mzee mpaka update chance deal
😹😹una mfananisha na konokono wa Bwana wa halotelNi Anchorman kaka😁😁😁sema huyo kama Drogba mzee mpaka update chance deal
Pamoto sana mkuu...nitakuja kwenye account yako kufanya sagura ya wachezaji hahahaHapa nipambane nipate wote hao Messi, Lamine na Neymar.
Hapana hapa naongelea namna ya kumpata ni kupitia chance deal😹😹una mfananisha na konokono wa Bwana wa halotel
Mess uwa naona ana faa kwa wanao penda ku dribble na possession football ila kwa mpira wa counter simwelewiHapa nipambane nipate wote hao Messi, Lamine na Neymar.
🤣 Mapema mkuu....ngoja nzifungue badaeUsha vuta gift zako saafi
Kwan ipo??Pamoto sana mkuu...nitakuja kwenye account yako kufanya sagura ya wachezaji hahaha
Labda Leaho kwa ajili ya events speed hakosi 90+Ongeza subs mzee
Kwanza tuache kelele hiyo kitu haipo 😂Siwezi toa 101 na Fotress kwa VVD wa 101
Offer yangu chagua card nyingine nikupe na baston
Then me unanipa Amrabat, Micky na VVD😁😁😁
HUTAKI acha
Kwanza exchange ya players ipo sijaoma sehemu kama imekuw confirmed
Mara hii umemsahau alikufanyaje huyo konokono, ila binadamu wasahaulifu sana 😂😂😂😹😹una mfananisha na konokono wa Bwana wa halotel
Nitakupa CR7 wa 99 we njoo tu 😂Pamoto sana mkuu...nitakuja kwenye account yako kufanya sagura ya wachezaji hahaha
Inategemea na playingstyle yake, hata hivyo kwanza nimpate Lamine na Neymar.Mess uwa naona ana faa kwa wanao penda ku dribble na possession football ila kwa mpira wa counter simwelewi
😹😹Mara hii umemsahau alikufanyaje huyo konokono, ila binadamu wasahaulifu sana 😂😂😂
Hahaha mkuu ndo nmerudi kuangalia aiseh haipo hiyo kitu .. gasperin na mourinho nilijua watakuwa na stats nzuri sana kwenye quick counter na LBC... Au ipoje.Kwan ipo??
Konami wanaenda kula elfu 10 yangu kwa Mourinho😁😁😁😁
Hahahaha na hii kitu haipo mkuu hahaha nimepita kuangalia vizuriNitakupa CR7 wa 99 we njoo tu 😂
Hao ni standard coachHahaha mkuu ndo nmerudi kuangalia aiseh haipo hiyo kitu .. gasperin na mourinho nilijua watakuwa na stats nzuri sana kwenye quick counter na LBC... Au ipoje.
Mourinho ninayemzungumiza mimi yupo pale wanapouza coinsMkuu ipoje hii ya kununua ..? Naomba nielekeze kuanzia wachezaji na kocha like mourinho
Umeshaanza 😂😂😂Konami wanaenda kula elfu 10 yangu kwa Mourinho😁😁😁😁
Anatumia playstyle ipi/zipi?Mourinho ninayemzungumiza mimi yupo pale wanapouza coins