Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
Epic auEden Hazard kwenye Daily game🔥🔥
Epic auEden Hazard kwenye Daily game🔥🔥
NdiyoEpic au
Kwenye 1800 wameleta naniPale kwenye Elfu mbili kuna Mikel Silvester attacking Full back 😀😀🔥
Sinaga left back asee
mkuu update ni Gb 1.2 kama sijakosea....ngoja kibaruani nikalishushe 🤣🤣🤣🤣😃😃😃Gb2.3 aseee
Hamna mtu bado...Kwenye 1800 wameleta nani
Me nililifuta 😀😀😀mkuu update ni Gb 1.2 kama sijakosea....ngoja kibaruani nikalishushe 🤣🤣🤣🤣
Hahahaha pole mkuu....kibaruani naenda wawashia moto leo lazima nilishushe mapema tu ndo kazi zianze🤣🤣🤣Me nililifuta 😀😀😀
Nipe Bastoni 😂Nipe nikuongezee Cannavarro 😃
Eden Hazard kwenye Daily game🔥🔥
Kwa Drogba wamemweka Frank Rijkard 🔥😃
Daily game box ta pili kuna Raul Dummy Runner ana phenomenal finishing, sema anacheza CF, SS na AMF
kuna Leao, kuna Dimarco na wengine wawili 😃
Hapa naiona afu 2 yangu ikienda 😂Pale kwenye Elfu mbili kuna Mikel Silvester attacking Full back 😀😀🔥
Sinaga left back asee
Nikupe Fortress 😀😀🫵🫵🫵🫵🫵🫵unacheza weweNipe Bastoni 😂
Nikupe Fortress 😀😀🫵🫵🫵🫵🫵🫵Nipe Bastoni 😂
Sema nipo na jamaa yako yule Mednsah si ni console yeyeHapa naiona afu 2 yangu ikienda 😂
Konami walivyo na gundu na Mimi watanipa leao na Dimarco kwanza😀😀😀
Wakupa leao mmoja nitamuomba.Konami walivyo na gundu na Mimi watanipa leao na Dimarco kwanza😀😀😀
Sasa nadhani unaona vile kubadilishana wachezaji litakavyokuwa jambo gumu 😂Nikupe Fortress 😀😀🫵🫵🫵🫵🫵🫵unacheza wewe
Ndiyo ni console.Nikupe Fortress 😀😀🫵🫵🫵🫵🫵🫵
Sema nipo na jamaa yako yule Mednsah si ni console yeye
Aah huyo utampata tu na weweWakupa leao mmoja nitamuomba.
Sijui ipo hiyoSasa nadhani unaona vile kubadilishana wachezaji litakavyokuwa jambo gumu 😂