Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,294
Amna me ndo nimeiva kaka saiv😃😃😃hahahah mkuu level yako nikifika nitasumbua sana 🤣🤣🤣🤣 wewe ni pro tayari
Amna me ndo nimeiva kaka saiv😃😃😃hahahah mkuu level yako nikifika nitasumbua sana 🤣🤣🤣🤣 wewe ni pro tayari
Si una Puskas kaka😃😃😃Owen ni hatari mkuu....nikipata wachezaji wa 4 namimi nitakuwa napata hata sare na pros aiseh ....
Hapo amejisahau kuwa anajifanya mwanafunzi 😂Ila Kandambili1 bhana ananiambia et nimeiva🤣🙌
Sawaa mkuu ngoja niendelee kujifua 🤣🤣🤣🤣
Mkuu mbona mm mwanafunzi sema selikavu mwalm ameiva sana....huo ndo uhaollisiaHapo amejisahau kuwa anajifanya mwanafunzi 😂
Ila uongo njia yake fupi sana 😂😂😂
Striker wa aina ya osimhein namkosa na nahisi Owen atanifaa sanaSi una Puskas kaka😃😃😃
Mmhh! Card 106? Sidhani kama nimewahi fikisha hata card 80 😂View attachment 3439134
Leo nimechoma coin 800 nikajua naweza mpata hata shevchenko au Cole... Nilivyoona purple nikajua tayari ndo wamenipan Lukebakio
Mkuu huwa sitoi sjui unatoaje....ila toka kikosi Cha kwanza kabisa nlichopewa ninacho chote.Mmhh! Card 106? Sidhani kama nimewahi fikisha hata card 80 😂
Hii michezo sasa kwamba hata release huioni? 😂Mkuu huwa sitoi sjui unatoaje....ila toka kikosi Cha kwanza kabisa nlichopewa ninacho chote.
Kumbe ndo kurelease sawa mkuu...nlijua Kuna utaratibu mwingine kama kuuza sawa sawaHii michezo sasa kwamba hata release huioni? 😂
Selikavu njoo umalizane na mwanafunzi wako, amenishinda tabia 😂😂😂
Kwel kaka😃😃😃Hapo amejisahau kuwa anajifanya mwanafunzi 😂
Ila uongo njia yake fupi sana 😂😂😂
Huyo kuludi sijui mwakaniStriker wa aina ya osimhein namkosa na nahisi Owen atanifaa sana
Huyo kuludi sijui mwakani
si una yule mbappe wanafanan uchezajinja na stats pamoja na owen unaweza mtumia huyoStyle yake ya uchezaji no balaa mkuu...anasaidia kufungua sana beki
Embu tongojee update wanadai kutakuwepo na option ya kuexchange playersKonami wangetupa interface na wachezaji wengine kuuziana wachezaji... Mfano mm nalipia coin 400 kwa selikavu kwaajili ya Owen etc Muuzaji anaamua kuuza au kuset higher price ingekuw unyama sana...sema mabwanyenye wangekuwepo kibao
Ngoja nitamjaribu mkuu...hahahaha kumbe unaangalia kikosi changusi una yule mbappe wanafanan uchezajinja na stats pamoja na owen unaweza mtumia huyo