MojaπShukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?
Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kakaπ€£π€£mkuu wapi errors zipo kibao sana... ujuzi natoa huku huku
Huyu jamaa anatuchora tuuππHalafu ana katabia. First half anacheza kama noob then second half anafungulia booster kama proπ
Atume matokeo huyo π€£π€£π€£...amemzuia Puskas dakika zote 90Kwel kabisa mkuu huyu jamaa ni pro ππAseme ukwel tuu
Game mmoja
Mkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kakaπ€£π€£
Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo π€£π€£Njoo na main account yako mkuuπ
Michezo hiyo Kandambili1, πhahaha mkuu nafikiri ni booster ya coach tu na wachezaji wenyewe....pia huwa na analyse mtu anavyocheza first half naamua niingiaje second half
Matokeo yapo wapItapigi kesho tupige kiume mechi 3
Mkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo π€£π€£
Uliniingiza mkenge tuuπ€£π€£Mkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.
Matokeo yapo wap
Aah wap kakaππMkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .
ah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.Uliniingiza mkenge tuuπ€£π€£
Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa πππRazorblade kaka kwema apo .
Endelea kaka ukichoka utakuja na main account yako π€£π€£ah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.
Usiseme upepo sema pepo baya πAlitaka kufanya siri πΉπΉπΉdadekii ila siku izi Razorblade kapitiwa na upepo mbaya
Mamiyake ππKuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa πππ