Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
PoaNisubiri hukohuko nakuja, naweka laini.
PoaNisubiri hukohuko nakuja, naweka laini.
Kwann mkuu 😃😃Sahizi tukicheza halland muweke bench
😃😃😃😃Ile offside imekuuma Sana nilimtoa Tony Adams ndo maana ikawa hivyo otherwise tungeenda Extra time😃😃😃😹😹mambo ya ajabu sana ayo ,
😹😹kichizi ilikua ilikua goal ilo dadek, nika shusha kioo niendelee kujibu sms kama amna match😃😃😃😃Ile offside imekuuma Sana nilimtoa Tony Adams ndo maana ikawa hivyo otherwise tungeenda Extra time😃😃😃
Mkuu upo hewani?Kandambili tumalizsne mkuu
😹😹ila konami, ilo la 3 limeingia sa ngapi tenaFainal me vs Mr Devil
Fainal ilikuwa ngumu leo maana hakuna mtu aliyetaka kufanya makosa 😃🙌
Good game mkuu Mr Devil ur deserved kuwa Finalists
Game nilianza kwa kumfunga akachomoa tukaanza kutafutana wee dakika za jioni amenichezea Rafu ndani ya box nikapewa tuta nikapiga kamba...😃😃
Mr Devil akapata counter attack dakika ya 92 ikawa offside naona akaamua atoke na room kabisa 😃😃
Me nikapiga zangu la tatu maana huruma sio malezi fainali hii
View attachment 3437882
View attachment 3437884
Nilijua tuu ni hiyo offside ndo imekumaliza nguvu🤣🤣😹😹kichizi ilikua ilikua goal ilo dadek, nika shusha kioo niendelee kujibu sms kama amna match
Amekula chuma akaona afanye kupanda ndege hahaahFainal me vs Mr Devil
Fainal ilikuwa ngumu leo maana hakuna mtu aliyetaka kufanya makosa 😃🙌
Good game mkuu Mr Devil ur deserved kuwa Finalists
Game nilianza kwa kumfunga akachomoa tukaanza kutafutana wee dakika za jioni amenichezea Rafu ndani ya box nikapewa tuta nikapiga kamba...😃😃
Mr Devil akapata counter attack dakika ya 92 ikawa offside naona akaamua atoke na room kabisa 😃😃
Me nikapiga zangu la tatu maana huruma sio malezi fainali hii
View attachment 3437882
View attachment 3437884
Mkuu hizo kupaa Gilberto ndo fundi anakumaliza chap...Ila Bingwa una paaa sana asee weka mpira chini 😹😹
😹😹ila konami, ilo la 3 limeingia sa ngapi tena
Mkuu wapi upo
Amna First half ulishika kiungo yangu mzee kheeh nilipotea kabisa😃😃😃mpka nimelud second half ndo kdg nikatulia alafu me ndo Counter zangu hizo siku hizi ndo maana nacheza na HalaandIla Bingwa una paaa sana asee weka mpira chini 😹😹
😹😹ila konami, ilo la 3 limeingia sa ngapi tena
🤣🤣🤣Umetoka dakika ya 92 wakati zimeongezwa tatu nikawai mbele chap chap🤣🤣🤣Ila Bingwa una paaa sana asee weka mpira chini 😹😹
😹😹ila konami, ilo la 3 limeingia sa ngapi tena
Kila mtu atapanda ndege kwa wakati wake😃😃Amekula chuma akaona afanye kupanda ndege hahaah