NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Leo alikua hapandi 🙂Siku hizi anapanda ndege mno😃😃😃
Leo alikua hapandi 🙂Siku hizi anapanda ndege mno😃😃😃
Anawasha Airplane mode😃😃😃akizidiwa🤣🤣🤣Leo alikua hapandi 🙂
Wakuu tutakuwa tunatumia hii comment kusave Username za watu😃😃😃maana kuna muda mpaka tunawasahau kabisa😃😃Washiriki wa league na Username zao Efootball
Selikavu Myunani
NEGAN Septer
Mill broh Toshmill
Mr Devil Thunderkick
Waterbender Cybertrust
Warld Mjukuu11
Kandambili1 Kandambili1
Edo kissy Edo kissy
Gilberto_ heisGilberto
Alexander Lukashenko AmirMaftah
Razorblade NeoWarrior
Corrie de killer Corie_De_killer
carnage21 carnage2001
Wazo zuri mkuu hahaha nasubiri kipigo toka kwa neganWakuu tutakuwa tunatumia hii comment kusave Username za watu😃😃😃maana kuna muda mpaka tunawasahau kabisa😃😃
Mimi sina hiyo bahati kwahiyo nitazitunza tu 😂Nliwaza hivo ila nikamtamani cr7😂 nikabahatika
Subiri uone mkuu, nimekaa pale 😂Nipo hapa😃😃😃
Nimepokea salamu mkuu 😂Kumbe ni Razorblade nakusalimia mkuu😀
Mkuu wachezaji wako walikuwa wanaganda nikajua network yako mbovu nikawa napiga back pass, mechi ya pili imezingua yangu ila nikaona unashinda tu 😂Amekimbia room😀
Sifanyi huo utumbo hata nifungwe 10+ 😂Anawasha Airplane mode😃😃😃akizidiwa🤣🤣🤣
Huwezi tunza kaka😃😃😃alafu kamtafute yule Halaand pale ni balaa😃😃Subiri uone mkuu, nimekaa pale 😂
Sawaaa me nipo nakusubili tuuSaa 4 na nusu ni sawa mkuu
Niliyenae ananitosha 😂Huwezi tunza kaka😃😃😃alafu kamtafute yule Halaand pale ni balaa😃😃
Sawa sawaSawaaa me nipo nakusubili tuu
Target man yule tafuta pocher😃😃Niliyenae ananitosha 😂