Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Pow nakukuta ngoja niweke linePoa kaka turuke
Pow nakukuta ngoja niweke linePoa kaka turuke
Tangulia livePoa kaka turuke
Hao pocher ninao wengi.Target man yule tafuta pocher😃😃
Mkuu kuna siku inabidi tukuombee ban hata ya nusu saa, angalia hao uliowatag hapo kwa Selikavu ni watu wawili tofauti 😂😂😂
Yenu tayari 😹
SawaaHao pocher ninao wengi.
Pamoja.Warld Good game mkuuView attachment 3437871
Sijui huwa anawatag vip🤣🤣🤣Mkuu kuna siku inabidi tukuombee ban hata ya nusu saa, angalia hao uliowatag hapo kwa Selikavu ni watu wawili tofauti 😂😂😂
Mmoja last seen ni 2012 mwingine 2016 😂
Utakuja uniue Room mkuu😃😃saves nane kwel kheehPamoja.
Hata mimi nashindwa kuelewa, ngoja aje atoe maelezo 😂Sijui huwa anawatag vip🤣🤣🤣
Sahizi tukicheza halland muweke benchUtakuja uniue Room mkuu😃😃saves nane kwel kheeh
We mzaramo naomba mechiWakuu nauza dawa ya kuzuia smart assist 😂
Hapa jirani yangu kuna mtu anacheza game karibia usiku kucha, muda wote nasikia match making 😂
Halafu sijamjua ni nani sasa, ukute tupo nae humu 😂😂😂
Nisubiri hukohuko nakuja, naweka laini.We mzaramo naomba mechi