Pow nakukuta ngoja niweke linePoa kaka turuke
Tangulia livePoa kaka turuke
Hao pocher ninao wengi.Target man yule tafuta pocherππ
Mkuu kuna siku inabidi tukuombee ban hata ya nusu saa, angalia hao uliowatag hapo kwa Selikavu ni watu wawili tofauti πππ
Yenu tayari πΉ
SawaaHao pocher ninao wengi.
Pamoja.Warld Good game mkuuView attachment 3437871
Sijui huwa anawatag vipπ€£π€£π€£Mkuu kuna siku inabidi tukuombee ban hata ya nusu saa, angalia hao uliowatag hapo kwa Selikavu ni watu wawili tofauti πππ
Mmoja last seen ni 2012 mwingine 2016 π
Utakuja uniue Room mkuuππsaves nane kwel kheehPamoja.
Hata mimi nashindwa kuelewa, ngoja aje atoe maelezo πSijui huwa anawatag vipπ€£π€£π€£
Sahizi tukicheza halland muweke benchUtakuja uniue Room mkuuππsaves nane kwel kheeh
We mzaramo naomba mechiWakuu nauza dawa ya kuzuia smart assist π
Hapa jirani yangu kuna mtu anacheza game karibia usiku kucha, muda wote nasikia match making π
Halafu sijamjua ni nani sasa, ukute tupo nae humu πππ
Nisubiri hukohuko nakuja, naweka laini.We mzaramo naomba mechi