Nilitaka nikucheki saa 8 mambo yaka ingiliana mkuu, jikaze tu iyo baadae badae, kila mtu atafungwa na mimi usiwe na haraka 😹😹😹Mazingira mchana huu wa leo ingekuwa pow maana saa nane naanza kwenda huko
Sina haraka ya kufungwa kaka najua nitafungwa nilitaka nicheze mapema kabla ya kuja huku nilipo network ni chengaNilitaka nikucheki saa 8 mambo yaka ingiliana mkuu, jikaze tu iyo baadae badae, kila mtu atafungwa na mimi usiwe na haraka 😹😹😹
Aah pow pow haina noma kaka kuna message nimekuuliza hapo juu sijui umeionaDadeq 😂 hutapita now, alafu ile juzi bundle lilikata nikamute.
Na mimi tatumia HALOTEL tuwe sawaSina haraka ya kufungwa kaka najua nitafungwa nilitaka nicheze mapema kabla ya kuja huku nilipo network ni chenga
Kdg network ikiwa nzuri nipunguze idadi ya magoli
Hatuchezi 😀😃😃😃Mfumo si ni ule ule au tulete wa makundi😃😃😃
Razorblade jina lake la Pamela Mamtu amelikimbia😃😃😃Neowarrior ndio nani?
Amekimbia room😀Razorblade jina lake la Pamela Mamtu amelikimbia😃😃😃
Siku hizi anapanda ndege mno😃😃😃Amekimbia room😀