Leo alikua hapandi πSiku hizi anapanda ndege mnoπππ
Anawasha Airplane modeπππakizidiwaπ€£π€£π€£Leo alikua hapandi π
Wakuu tutakuwa tunatumia hii comment kusave Username za watuπππmaana kuna muda mpaka tunawasahau kabisaππWashiriki wa league na Username zao Efootball
Selikavu Myunani
NEGAN Septer
Mill broh Toshmill
Mr Devil Thunderkick
Waterbender Cybertrust
Warld Mjukuu11
Kandambili1 Kandambili1
Edo kissy Edo kissy
Gilberto_ heisGilberto
Alexander Lukashenko AmirMaftah
Razorblade NeoWarrior
Corrie de killer Corie_De_killer
carnage21 carnage2001
Wazo zuri mkuu hahaha nasubiri kipigo toka kwa neganWakuu tutakuwa tunatumia hii comment kusave Username za watuπππmaana kuna muda mpaka tunawasahau kabisaππ
Mimi sina hiyo bahati kwahiyo nitazitunza tu πNliwaza hivo ila nikamtamani cr7π nikabahatika
Subiri uone mkuu, nimekaa pale πNipo hapaπππ
Nimepokea salamu mkuu πKumbe ni Razorblade nakusalimia mkuuπ
Mkuu wachezaji wako walikuwa wanaganda nikajua network yako mbovu nikawa napiga back pass, mechi ya pili imezingua yangu ila nikaona unashinda tu πAmekimbia roomπ
Sifanyi huo utumbo hata nifungwe 10+ πAnawasha Airplane modeπππakizidiwaπ€£π€£π€£
Huwezi tunza kakaπππalafu kamtafute yule Halaand pale ni balaaππSubiri uone mkuu, nimekaa pale π
Sawaaa me nipo nakusubili tuuSaa 4 na nusu ni sawa mkuu
Niliyenae ananitosha πHuwezi tunza kakaπππalafu kamtafute yule Halaand pale ni balaaππ
Sawa sawaSawaaa me nipo nakusubili tuu
Target man yule tafuta pocherππNiliyenae ananitosha π