Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,294
Shukran kaka✊Hongera mtaalamu
Shukran kaka✊Hongera mtaalamu
Sema night ndio unyama ,angalia mazingira ili usije jitetea kama RazorbladeKama utakuwa umebanana nianze kuweka TTCL hewan mapema tucheze night kama siku zote
Mazingira mchana huu wa leo ingekuwa pow maana saa nane naanza kwenda hukoSema night ndio unyama ,angalia mazingira ili usije jitetea kama Razorblade
Acha nibaki na badge yangu hiyohiyo kwa sasa 😂😹😹 ata me nme acha kucheza kupanda ,uwa nacheza nikiwa nataka kucheza na opponents tu
KaribuNd mm hyo hyo
Anatuzuga tu 😂Huyo ni pro in Razorblade Voice😀
Kama Tony Adams wangu 😂Konami🤣🤣🤣 imagine Destroyer anacheza CF😃😃😃
View attachment 3437350
Huyu et ndo position yake naturally 🤣🤣🤣Kama Tony Adams wangu 😂
Sijawahi kuwa na bahati kwa Haaland asee, namtamani kinoma nilimchukua yule wa GP ila hana vingiHumu ndani niliwaambia nisipate card ya Halaand ambayo ni Fox in the Box😃😃
Nikaipata juzi Alhamic kwenye free spine aseee jamaa ni striker haswa
Hatari sanaKonami🤣🤣🤣 imagine Destroyer anacheza CF😃😃😃
View attachment 3437350
Nimeanza kutunza upya, sasahivi nikizitumia kwenye update mpya sitotumia tena mpaka update ya 2027 😂View attachment 3437565View attachment 3437566View attachment 3437567
Coin 100 tu😂🙌 kutunza namwachia mwanangu Razorblade na Selikavu.
Cc Mill broh
😃😃😃Ile card mzee kachome pale labda utapataSijawahi kuwa na bahati kwa Haaland asee, namtamani kinoma nilimchukua yule wa GP ila hana vingi
Kama kawaida yako umespine jumapili kanisani 🤣🤣🤣🤣View attachment 3437565View attachment 3437566View attachment 3437567
Coin 100 tu😂🙌 kutunza namwachia mwanangu Razorblade na Selikavu.
Cc Mill broh
Nipo hapa😃😃😃Nimeanza kutunza upya, sasahivi nikizitumia kwenye update mpya sitotumia tena mpaka update ya 2027 😂
Hongera sanaNliwaza hivo ila nikamtamani cr7😂 nikabahatika
Aweeee wongo huo kaka😂😂Ungejua hata kanisani nimesahau nilienda lini