Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
hahaha nimeanza iweka pembeni mkuu....Ina mapungufu yake pia hahahOwaa ni balaa hata mimi sichezi hivyo na smart assist 🤣🤣
hahaha nimeanza iweka pembeni mkuu....Ina mapungufu yake pia hahahOwaa ni balaa hata mimi sichezi hivyo na smart assist 🤣🤣
Mpira wangu ndo mpira wake😃😃😃Hatonisumbua sana sababu anacheza possession. Nasumbuka kucheza na wewe sababu unacheza counter attack
hahah napataga kazi sana kuendana na Kasi ya game yako🤣🤣Amna kikosi kile kile ila nacheza mpira kazi🤣🤣
Aah vizurihahaha nimeanza iweka pembeni mkuu....Ina mapungufu yake pia hahah
Nakataa yeye anamiliki mali anafikisha mpaka pasi 150Mpira wangu ndo mpira wake😃😃😃
Kesho unakutana na Owen 🤣🤣🤣hata usisumbuke ama van bastenNaona ume toa siri za changing room, utaelewa kesho mida kama hii😹
Ushambuliaji wake ni kama wangu tuuNakataa yeye anamiliki mali anafikisha mpaka pasi 150
Sawaa mkuu utaleta mrejesho
Hahahaha mkuu nenda taratibu standard card zisifanye unitoe roho mkuu.
Mtego huu😀Hahahaha mkuu nenda taratibu standard card zisifanye unitoe roho mkuu.
Huyo jamaa ana michezo sana ukimsikiliza🤣🤣Mtego huu😀
😹😹weka vijeba kakaMr Devil umeenda training ama
Huyu jamaa kesho anapumzika game yako hawezi Kimbizana nesta inabid niweke viberengeView attachment 3437087
Hongera mtaalamuNusu fainali imeisha matokeo ni haya hapa
View attachment 3437088
Kesho tunamalizia League yetu View attachment 3437089
We uje tuu 😃😃😃tutacheza kibabe😹😹weka vijeba kaka
Kama utakuwa umebanana nianze kuweka TTCL hewan mapema tucheze night kama siku zote😅kipengele icho , tutachek mchaba