eFootball Special Thread

Legacy transfer ina msaada gani
Legacy transafer insaidia kuhamisha skills kutoka kwa mchezaji mmoja kwenda...

Unanunua wale wachezaji wa wa kawaida Kwa Gp ndogo kabisa then unawapa skills wakipata skills unayotaka unafanya legacy transafer kwenda kwa mchezaji sasa unayetaka apate hiyo skills....


Nilikuwa nastream leo jioni nimeona inavyovyafanya kazi hiyo

Na pia kuna link kuna mtu aliieleta humu kama sio NEGAN sidhan inaonesha namna ya kufanya legacy transafer....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ