Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
🤣🤣🤣 mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado😹ana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
🤣🤣🤣 mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado😹ana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
🤣🤣🤣🤣🙌dadekiEti anakwambia amejifunza mengi sana 😂😂😂
Mtu akiamua kukutukana hakuchagulii tusi 😂😂😂
🤣🤣😹we hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania🤣🤣🤣 mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado
Dah! Nitaamsha waliolala kwa kicheko 😂😂😂😹😹 Selikavu ana mwambia jamaa kila siku afanye kupiga vile vi penalty ,ukute apo pro Kandambili1 alikua anacheka sana
hahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....Selikavu hachezi hivyo sasa we unachukua mbinu gani kwake? 😂😂😂
Uzalendo kwanza au siyo? 😂😂😂🤣🤣😹we hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
mkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noob🤣🤣😹we hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
😹😹😹sio poa
😹mambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sioUzalendo kwanza au siyo? 😂😂😂
😹😹🤣tusubiri keshomkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noob
Sasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa 😂😂😂hahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....
Batigoal alikuwa anazurula tu uwanjani 😂😂😂😹mambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sio
Uzalendo muhimu mkuu....sawa😹😹🤣tusubiri kesho
nabeba vya muhimu vingine naongezea pia...hahahSasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa 😂😂😂
Mbona kama nakufahamu kaka 😂
Michezo hiyi🤣Mkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh 🤣🤣🤣🤣 mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.
Maskini roho yangu mimi😃
Tugange yajayo 😂😂😂Falaaaa🤣🤣🤣