Hawa jamaa wanazidi kutaka kuteka watu kwa hizi update zao.
View attachment 3307347
View attachment 3307354
View attachment 3307355
Wameamua kutuwekea machaguo kwenye efootball league, binafsi siwezi cheza kwenye AI maana inakuhitaji point nyingi kuwa promoted kuliko PvP.
Na wao siyo wajinga bila shaka wanajua wengi watakimbilia kwenye AI.Hapa kwenye Ai nitacheza mno wasinipe tu Aston Villa
Nilifungwa nusu fainal aisee, dharau mbaya sana.Ile michuano ya timu kubwa duniani ndio niliiipenda sana,
michuano kama ya UEFA hivi
Ngumu lakini hazikwamiMkuu huo unaweza kuwa mtego, mechi zake zinaweza kuwa ngumu kuliko PvP.
Twende mechi mojaNani yupo hewani nimchape ⚽️
Mechi nzuri nimeku add mkuu01648288
Code iyo friend match
Accepted mkuuMechi nzuri nimeku add mkuu
Kwa taarifa iliyotoka kabla ya update hata PvP hazitakuwa zikikwama.Ngumu lakini hazikwami
Basi itakua vizuri kama ni hivyoKwa taarifa iliyotoka kabla ya update hata PvP hazitakuwa zikikwama.
Muwe mkitoka uwanjani mnaleta matokeo.Mechi nzuri nimeku add mkuu
Hukupitia taarifa ya update niliyotuma asubuhi?Basi itakua vizuri kama ni hivyo
Inabidi uje uwanjani ushuhudieMuwe mkitoka uwanjani mnaleta matokeo.
Kauli ya kishujaa sana.Inabidi uje uwanjani ushuhudie
Nilipitia nimeona mode mpya ya AI hiyo sikuiona ngoja nipitie tenaHukupitia taarifa ya update niliyotuma asubuhi?
Nimepigwa 3 nunge😃Muwe mkitoka uwanjani mnaleta matokeo.
Unapigwa zako pvp unalud kwenye AiNa wao siyo wajinga bila shaka wanajua wengi watakimbilia kwenye AI.