Nimecheza leo mchana Co-Op na ukishinda ni tamu sana, nilipata partner tunaendana matokeo yalikiwa fedheha tumerudi kwenye group hamna anaetaka mazoea 😅😅 ile kitu tamu bana, yakitokea makosa unajua nani kakosea ukamlalamikie.
We kama ukikosa mtu ingia ile ya kwenye event pale PvP inakuwa na reward ukishinda.