Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
Sikuvimbii masta wala siwezi endea training,Aisee hongera sana, enda utrain kwanza halafu uje kuvimba tena 😂
Game nacheza kama burudani ndiyo maana huwezi ona napanic nkifungwa.
Sikuvimbii masta wala siwezi endea training,Aisee hongera sana, enda utrain kwanza halafu uje kuvimba tena 😂
Mkuu huyu kijana ni mzito unaweza sema yeye ndo Drogba, ila hizo ndege Maa shaa Allah amejaaliwa 😂😂😂Mwambie aongeze speed
Hahaha wanataka mm nikuzuie wew usiende robo fainali kwelii
Hatujawahi panic humu, siye kwetu kila kitu burudani 😂Sikuvimbii masta wala siwezi endea training,
Game nacheza kama burudani ndiyo maana huwezi ona napanic nkifungwa.
We umepita bila wajumbe kaka 😂Hahaha wanataka mm nikuzuie wew usiende robo fainali kwelii
Haha huu unyama nausubiria 😀
Hii naikosa maana kukesha nacheza nimejaribu jana leo nimepitiliza muda wa kuamka 😂😂😂
Nakubali braza.Hatujawahi panic humu, siye kwetu kila kitu burudani 😂
Hahaha nitajaribu bahati hapo baadaeWe umepita bila wajumbe kaka 😂
Kwel kabisa mkuu 😃😃Huyu halioni goli hadi anapata muda wa kupiga pass 200 inabidi atumie miwani . Razorblade
Kama niliota vile kutafuta badge ya division one 😃😃😃Haha huu unyama nausubiria 😀
Leta hela nikuuzie badge yanguHii naikosa maana kukesha nacheza nimejaribu jana leo nimepitiliza muda wa kuamka 😂😂😂
Sitaki kuwa verified wanasemwa sana 😂Leta hela nikuuzie badge yangu
Badge ya division one fala weweSitaki kuwa verified wanasemwa sana 😂
😂😂😂 ratiba ya Ijumaa kidogo inakuwaga nzuri, leo ngoja nijaribu kwenda dvn 3 kwanza.Badge ya division one fala wewe
Asa mbona umetag watu wawili tofauti 😀
Imenisikitisha sana 😂
Na kwenye hiyo tag mimi sipo 😂Asa mbona umetag watu wawili tofauti 😀