Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Inabid tumpate na Mill bro tutumie kikosi chako na chakeSaa 5 kamili tucheze 2 vs 2 au 3 vs 3
Inabid tumpate na Mill bro tutumie kikosi chako na chakeSaa 5 kamili tucheze 2 vs 2 au 3 vs 3
Amalizane na play off kwanza, hii ngoma ya watu wazima 😂Coop bila Gilberto mapasi hazinogi
Pamoja mkuu.Saa 5 kamili tucheze 2 vs 2 au 3 vs 3
Nimecheza leo mchana Co-Op na ukishinda ni tamu sana, nilipata partner tunaendana matokeo yalikiwa fedheha tumerudi kwenye group hamna anaetaka mazoea 😅😅 ile kitu tamu bana, yakitokea makosa unajua nani kakosea ukamlalamikie.Tukusanye watu basi, sijawahi cheza co-op.
Nacheza playoff afu we umefuzu hichi kitu kinanikereketa sana roho 😂😂😂Amalizane na play off kwanza, hii ngoma ya watu wazima 😂
gilberto ana play off
Hahaha.. username gani unatumiaAnyway Corrie de killer twende tukakabane kaka
Duh mi nimejaza marafiki kule nadhani hata ulishanitumia request sija-accept.. nikupe code?Hahaha.. username gani unatumia
NjooWaterbender nipe muda kaka nikamkabe Totti
Kaka ndo unakuja leo kwel 😃😃😃Njoo
Muda wa mechi unakuwa haupo...Nimeona watu wamepewa ponit zangu bure🤔
Upo free nowNjoo
NdioUpo free now
Sawa ngoja nicreate kakaNasubilia code hapa
03786399Nasubilia code hapa
Nakuja03786399