Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Twende online utanikutaNdio
Twende online utanikutaNdio
KakaNakuja
Niliona kama moja hiviPlayoffs si mechi mbili au?
Aah powa kaka, Good game 🙌Niliona kama moja hivi
Tutakutana league ijayo. Ngoja mm nikajifunze zaidiAah powa kaka, Good game 🙌
Hebu nipe siri ya kuwek mikono kwenye ungaMill broh tumalize ili swala ,😹 pitisha vidole kwenye unga usije jitetea mikono ina teleza View attachment 3435354
Uwe online kaka tuwe tunapata friendlyTutakutana league ijayo. Ngoja mm nikajifunze zaidi
Mimi hapa😃😃Myunani ndo nan?
Ni tamu kweli bhana baada ya kutomuona NEGAN nikazama na Kandambili1Nimecheza leo mchana Co-Op na ukishinda ni tamu sana, nilipata partner tunaendana matokeo yalikiwa fedheha tumerudi kwenye group hamna anaetaka mazoea 😅😅 ile kitu tamu bana, yakitokea makosa unajua nani kakosea ukamlalamikie.
We kama ukikosa mtu ingia ile ya kwenye event pale PvP inakuwa na reward ukishinda.
Kaza vidole, huruma siyo malezi 😂Nacheza playoff afu we umefuzu hichi kitu kinanikereketa sana roho 😂😂😂
Kandambili1 umeona fixture, hii mechi ngumu 😂Hatua ya Playoffs imeisha wakuu tukutane robo fainali View attachment 3435433
Robo fainali hii imepangwa na system yenyewe
NEGAN vs Gilberto_
Alexander Lukashenko vs Selikavu
Warld vs Mr Devil
Kandambili1 vs Razorblade
View attachment 3435435