Na haikuhusu πNa kwenye hiyo tag mimi sipo π
Kweli hainihusu, nimejipendekeza tu πNa haikuhusu π
Kaza vidoleπImenisikitisha sana π
Hivi mpaka update ya wiki ijayo siwezi kutoboa kweli? π
Muda kama huu ndo nilitakiwa niwe nakichafua lakini simu sipo nayo πKaza vidoleπ
Free spin itakuwa imenipita πNext phase jitoe muhanga kama Selikavu ufike div 1π
π€£π€£π€£π€£Akili huna kakaBaada ya kukosa kazi ya kufanya π
View attachment 3434774
Wengine waliorodheshwa huko chini, nikaja kumvuruga bhana akanidanganya eti Joanah na Intelligent businessman nao wanacheza eFootball, nikamwambia acha kunidanganya πππ
Jamaa jinga sana hilo, limefukua mambo humu lakini eti halijaona taarifa yangu ya kutumia back 3 ππππ€£π€£π€£π€£Akili huna kaka
Gilberto hana mechi sioππ
Kumbe yupo play off, hafai huyo πGilberto hana mechi sioππ
Tukusanye watu basi, sijawahi cheza co-op.gilberto ana play off
Coop bila Gilberto mapasi hazinogiKumbe yupo play off, hafai huyo π
Saa 5 kamili tucheze 2 vs 2 au 3 vs 3Tukusanye watu basi, sijawahi cheza co-op.