eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu hongerani tumemaliza League stage tunaenda kwenye mtoano sasa

Msimamo
IMG_20250807_010320_545.jpg

Playoffs mechi kesho

Mechi ni moja Penalties na extra time one muda ni dakika 10

IMG_20250807_010323_601.jpg

NEGAN Gilberto_ Alexander Lukashenko Corrie de killer Kandambili1 Warld Mr Devil

Kama haupo hapo juu niliowatag na umecheza mechi zote ujue kiwango chako hakituridhishi🤣🤣🤣
 
Wakuu hongerani tumemaliza League stage tunaenda kwenye mtoano sasa

Msimamo
View attachment 3434430

Playoffs mechi kesho

Mechi ni moja Penalties na extra time one muda ni dakika 10

View attachment 3434431
NEGAN Gilberto_ Alexander Lukashenko Corrie de killer Kandambili1 Warld Mr Devil

Kama haupo hapo juu na umecheza mechi zote ujue kiwango chako hakituridhishi🤣🤣🤣
Yani kumbe licha ya kupoteza mechi ila bado nimeenda bila kupingwa 😂

Ila uongozi wa NEGAN ni batili kabisa 😂
 
Halafu hizo pass nimepiga kwako tu, sijawahi fikisha hizo pass tangu nimeanza kucheza 😂

View attachment 3434447

Ukiangalia hiyo ratiba hapo utajua nilichokuwa nakifanya, idadi ya hizo pass siyo ratiba ya Jumatano.

Usahihi wa kutambua nafasi ni 50%
Yaani unaratiba kabisa ya playing style na nmekufunga woiiih 😂😂😂
 
Back
Top Bottom