Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Hivi hakuna mechi zilizochezwa mpaka muda huu?Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, 😃
Hivi hakuna mechi zilizochezwa mpaka muda huu?Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, 😃
Jana me nilufungwa😃😃😃🫵Asinikamie tu maana mie bado noob 😂
Bado hakunaHivi hakuna mechi zilizochezwa mpaka muda huu?
Ulicheza nae? 😂Jana me nilufungwa😃😃😃🫵
Muda wa hekaheka 😂Bado hakuna
Ngoja ifike saa tatu 😃😃🫵
Eeh FriendlyUlicheza nae? 😂
Uliniachia mkuu hukuwa kwenye kiwango chako.Jana me nilufungwa😃😃😃🫵
Kile ndo kiwango changu sasa🤣🤣🤣Uliniachia mkuu hukuwa kwenye kiwango chako.
Kwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani 😂Eeh Friendly View attachment 3434007
Aagh au ulimpa mtu simu.Kile ndo kiwango changu sasa🤣🤣🤣
Imagine mimi nimemizidi pasi🤣🤣najua ushaelewa cha kufanya😃😃😃Kwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani 😂
Vile unavyokamia mkuu na amekufunga, mie soft ball si nitaoga mengi 😂Kile ndo kiwango changu sasa🤣🤣🤣
🥹🥹Kwa hizi statistics zimenipa mwanga wa kujua naenda kukutana na mtu wa aina gani 😂
Ndo kiwango changu kaka😃😃😃Aagh au ulimpa mtu simu.
Mbona nimeliona hilo kaka 😂Imagine mimi nimemizidi pasi🤣🤣najua ushaelewa cha kufanya😃😃😃
Mnapanga kunimaliza 😂😂,Imagine mimi nimemizidi pasi🤣🤣najua ushaelewa cha kufanya😃😃😃
Yan nimkamie mtu alafu nipige pasi kumliko wewe uliona wap😁🤣😁Vile unavyokamia mkuu na amekufunga, mie soft ball si nitaoga mengi 😂
Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito 😂Yan nimkamie mtu alafu nipige pasi kumliko wewe uliona wap😁🤣😁
Tuguse sahizi ili uwe na amani.Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito 😂
Ana Badge ya div 1??Hapa nijiandae kiakili, hiyo dvn level yake imebeba siri nzito 😂