Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,719
Eeh ulizani utani😂😂
Eeh ulizani utani😂😂
NipoWapi mzee wa Totti
Mkuu hukutokea mechi ilikuwa jumatatuEeh ulizani utani😂😂
We jamaa umepoteaNipo
Naona kabisa umedhamiria kunifedhehesha leo, ngoja nijiandae kiakili 😂Au nkupe point mapema ili kuepuka fedheha😂😂
Mapema sana, lazima nijiandae 😂Ushachungulia kikosi 😂😂
Kikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpiraMapema sana, lazima nijiandae 😂
Dah! Shivo naona unanijaza 😂Kikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpira
We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupitaDah! Shivo naona unanijaza 😂
Selikavu ona huyu mtu aisee.We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupita
Nimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room 😂Michezo hiyo unachezewa kaka
Aisee hii sasa hatari 😂Mungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zote🤣🤣🤣
Dua la kuku😂😂😂Mungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zote🤣🤣🤣
Hii michezo tunaijua, usidanganyike na hiyo back 3 hapo nyuma mkuu 😂Yani naangalia kila mfumo naona siwezi kutoboa
Kikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasaNimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room 😂
Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, 😃Aisee hii sasa hatari 😂
Asinikamie tu maana mie bado noob 😂Kikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasa