Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Muda wa kutimua vumbi 😂Naona mnatafutana tu 😂 kumeanza kuchangamka sasa
Muda wa kutimua vumbi 😂Naona mnatafutana tu 😂 kumeanza kuchangamka sasa
Hivyo yani, fixture ya siku husika ikitoka bora watu waanze kutafuta mapema wakiwashe halafu wale wa kuoatikana usiku wataendelea kusubiriana.Point hii mkuu 📌
Niaje masta mbona umetoka kwa roomNakutumia invites sasa hivi hapa
Ujue nilikuwa sijaona kumbe upo na Fransisco Totti wa 105😃😃😃Wapi mzee wa Totti
Aweeee🤣🤣Cheza moja usare ubalance hizo mechi 😂
Jamaa kumpata ni shughuli last seen naona saa 9 mchana
Point zitaenda tena ni 6 saiviJamaa kumpata ni shughuli last seen naona saa 9 mchana
Ile ya kwanza mtandao ulizingia sema hongera.. nimeanza vibayaNiaje masta mbona umetoka kwa room
Bado moja twende create uwe homeIle ya kwanza mtandao ulizingia sema hongera.. nimeanza vibaya
Tukapigr nyingine au
PoapoaBado moja twende create uwe home
Bado hana skills sasa hivi na enjoy uwepo wa vitinhaInaganda mno sema nilisema lazima nicheze na Ronaldo Phenomenal na Bullet header 😃😃😃
Vitinha😃😃pale kati umemaliza sasa umebakiza kipa tuu😃😃Bado hana skills sasa hivi na enjoy uwepo wa vitinha