Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,969
- 12,435
Drogba wamoto ninae mimi tu, Drogba wawengine wote wazito šSema drogba wamoto kwelii, sijui kwanini konami hawataki nipa huyo mtu
Mr Devil
Drogba wamoto ninae mimi tu, Drogba wawengine wote wazito šSema drogba wamoto kwelii, sijui kwanini konami hawataki nipa huyo mtu
Jitu la kilo miaš¤£š¤£
Amebeba mpira wake leo kiroho safi šJitu la kilo miaš¤£š¤£
Kumeanza kuchangamka.Me na Kandambili1 tumetoka draw game zote
Kandambili1 hongera kaka umeivaš
Hii ya kwanza alitoka mapema net ilimzngua ya pili na mimi nikamfunga moja tuu kwa agg ni 1:1
View attachment 3432960View attachment 3432962
HajatokeaWapi Edo kissy
Fixture ya kesho mkuu.Hajatokea
Hahaha mkuu Asante aiseh Kuna muda niliona kama upo na back 5 nikawa nashindwa napitaje kuja kuangalia upo na back 4 tu kama kawaida..Me na Kandambili1 tumetoka draw game zote
Kandambili1 hongera kaka umeivaš
Hii ya kwanza alitoka mapema net ilimzngua ya pili na mimi nikamfunga moja tuu kwa agg ni 1:1
View attachment 3432960View attachment 3432962
Aah sawa sawaa master nitamzingatiašHahaha mkuu Asante aiseh Kuna muda niliona kama upo na back 5 nikawa nashindwa napitaje kuja kuangalia upo na back 4 tu kama kawaida..
Nashukuru sana...licha ya kutaka kishililia bomba Torres amekuja kufanya kazi.
Torres mzingatie mkuu naona yupo vyema sana kwako....Asante nazidi jifunza mkuu.
KWa huu mwendo ntashuka daraja š„¶š„¶
Na mimi nisemajeKWa huu mwendo ntashuka daraja š„¶š„¶
Una point 7 halafu unasema utashuka daraja šKWa huu mwendo ntashuka daraja š„¶š„¶
Kwamba hamumuoni Edo?Na mimi nisemaje
Sijacheza hata mechi moja š
Dah aiseh hapa ndipo safari imeiva hahaha