Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Uje ufate points zakoHamna kitu kama hichi mkuu🤣🤣 kuanzia saa 1:30 nitakuwa hewani mkuu....tutachekiana bro...mkawe na productive day
Uje ufate points zakoHamna kitu kama hichi mkuu🤣🤣 kuanzia saa 1:30 nitakuwa hewani mkuu....tutachekiana bro...mkawe na productive day
Mkuu mimi sikuwa napenda kusoma muda wote ila ilikuwa ikikaribia mitihani napiga msuli wa moto kwa msaada wa hayo maneno 😂😂😂Nipo Pale niite Didier Drogba Mavambovic😃😃😃
Kweli hatimae, yule waliyenipa nafikiria kumfukuza 😂
😹😹kaka mbona we uli singizia Halotel tuka kuelewaWewe umekimbja halafu umrsingia usingizi 😂
😅 una itafuta 3200
Isingekuwa mtandao unahisi ningeendelea kukaa goli zote zile, kwamba kindege sikioni? 😂😂😂😹😹kaka mbona we uli singizia Halotel tuka kuelewa View attachment 3432069
Nani huyo 😅Kweli hatimae, yule waliyenipa nafikiria kumfukuza 😂
Hongera.
Nina 3180😅😅 una itafuta 3200
Yule Riqui Puig 😂Nani huyo 😅
Opponents wote wawili wasipo tokea je ? Matokeo ya Alexander Lukashenko sija yaona niangalie stata zake kama vipi kikosi A wapumzike leo 😹Msimamo After Round one
Kama opponent hakutokea muda husika unakula win game zote...
Mimi na Gilberto ni kesho View attachment 3431607
Opponents wote wawili wasipo tokea je ? Matokeo ya Alexander Lukashenko sija yaona niangalie stata zake kama vipi kikosi A wapumzike leo 😹
Night mkuu , saiv harakatiMpinzani wangu hakutokea.
Tunaweza cheza game yetu saiv kabisa nna ka mda kidogo.
Mbona umetag wawili na unamechi na mmoja?
Jana alipata dharura hatukucheza😀😀Mbona umetag wawili na unamechi na mmoja?
Nyie mnajuana wenyewe ila ikiwa hivi kila mtu atahusisha dharula zake asipotokea, itazalisha hali tofauti na kuleta sintofahamu kwenye ligi.Jana alipata dharura hatukucheza😀😀
Kikubwa ni taarifa kaka😃😃sasa mtu hutokei alafu upo kimya mpaka muda wa game unaisha kwelNyie mnajuana wenyewe ila ikiwa hivi kila mtu atahusisha dharula zake asipotokea, itazalisha hali tofauti na kuleta sintofahamu kwenye ligi.
Inapendeza taarifa ifahamike kwa wote mkuu hii itaondoa sintofahamu.Kikubwa ni taarifa kaka😃😃sasa mtu hutokei alafu upo kimya mpaka muda wa game unaisha kwel
Aah sawaa mkuuInapendeza taarifa ifahamike kwa wote mkuu hii itaondoa sintofahamu.