Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Mkuu jana nilienda na Kandambili1 leo tutaenda mida kama utakuwepo...Vodacom
Nilkutumia invite leo nikaona upo room na mtu tayali
Mkuu jana nilienda na Kandambili1 leo tutaenda mida kama utakuwepo...Vodacom
Poa masta ntakutaftaMkuu jana nilienda na Kandambili1 leo tutaenda mida kama utakuwepo...
Nilkutumia invite leo nikaona upo room na mtu tayali
Mkuu kuanzia saa 3:30 nakuwa nimemaliza majukumu yote....utakuwepo hewani.Kandambili1 ukija kaka nipe time gan twende
Acha kulia mkuu sisi familiya, ligi haipaswi kwenda bila maneno ya fitnah 😂😂😂Kaka tuwe serious sasa tuache maskihara...
Taarifa inatakiwa imfikie nani...
Issue ni modalities ya utoaji taarifa ilinifikia mimi kama opponent na co Organizer...
Yan mimi kabisa nisicheze ligi makusudi au Gilberto kheeh
Issue ni kwamba sawaa modalities iliyotumika ndo imeleta shida something which won't happen in the future...
Easy tu brother ni mchezo kama mchezo mwingine just enjoyment
Dah 😂😂😂Hapa ulikuwa sahihi kwamba inapendeza taarifa ifike kwa wote ili kuondoa sintofahamu
Jambo ambalo nimekubali na halitojitokeza tena
Sawaa sawaa mkuuMkuu kuanzia saa 3:30 nakuwa nimemaliza majukumu yote....utakuwepo hewani.
Ewaah! 😂😂😂Kwamba kwa sheria wote walimwe point zero si ndio😅
Shukrani mkuu...narudi muda sio mrefu.Sawaa sawaa mkuu
😃😃😃 AseeeAcha kulia mkuu sisi familiya, ligi haipaswi kwenda bila maneno ya fitnah 😂😂😂
Haikuwa issue kubwa kaka, umesahau life letu mbona 😂😂😊Game yangu zidi ya Gilberto imekuwa Counted as draw kwa sababu wote wawili hatukutokea msimamo ni kama ufuatavyoView attachment 3432489
Nimeweka bando la wiki jana leo limekata, ntacheza na halo hivyo hivyo 😂Voda Tigo
😃😃😃Furaha yako si me nitoke usiwaze kichwa wewe 🤣🤣🤣Haikuwa issue kubwa kaka, umesahau life letu mbona 😂😂😊
Usitumie sehemu nyingine 😀😀Nimeweka bando la wiki jana leo limekata, ntacheza na halo hivyo hivyo 😂
Sizitaki vidole ninavyo 😂
Tunakupa kaka😃😃😃Sizitaki vidole ninavyo 😂
😂😂😂 familiya😃😃😃Furaha yako si me nitoke usiwaze kichwa wewe 🤣🤣🤣
Natoka soon kashinde kombe sasa😃😃😃
Mkuu natembelea sana JF na WhatsApp tu 😂Usitumie sehemu nyingine 😀😀
Khalas 😂Tunakupa kaka😃😃😃
🤣🤣Hakuna Familia wala nini ubaya Ubwela😂😂😂 familiya