Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,205
- 35,230
ndio maana nika uliza wote wawili wasipo tokea matokeo yana kuaje .Nyie mnajuana wenyewe ila ikiwa hivi kila mtu atahusisha dharula zake asipotokea, itazalisha hali tofauti na kuleta sintofahamu kwenye ligi.
Jana alipata dharura hatukuchezašš
ila hii haipo kwenye sheria zetu 00:00